Kwanza angalia eneo ulipo. Angalia fursa zilizopo mfano Kilimo cha mazao, mifugo, biashara kwa kuangalia mahitaji na kadhalika. Kisha usikurupuke fanya utafiti wa soko na changamoto za fursa hizo. Kwa kuongea na watu wanaofanya hayo makitu na kisha shortlist mambo kwa kuangalia changamoto, risks, na uwezo wako kisha fanya moja. Lakini pia si lazima kufanya hayo ulipo wawezafanya maeneo mengine provided upo well informed. Hizo ni nyingi saaana kukick off lakini usiwe na papara otherwise kama ulivyoamka unaweza lala ukajikuta upo mweupeeeeeeeeeee kama teja.