Sheria inasemaje kama mgonjwa amechati na muuzaji za dawa za asili (hawa wa jamii ya forever living, lakini sio forever living) lakini huyo muuzaji wa dawa akawa anaweka zile charting katika status yake ya whatsup.Yaani yale mliyoyaongea kama siri (ulivyotiririka ugonjwa unavyokusumbua) yeye ndio anayaanika katika whatsup status zake.
Sheria ya mtandao au sheria kwa ujumla inasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani Mkuu unautaalamu wa sheria?Kama hajaexpose identity yako (kaficha namba) hamna kosa na huwezi shinda kesi.
Kama kaexpose your identity hapo ni kosa na unaweza mchukulia hatua.
All in all kiungwana alitakiwa akuombe kabla hajatumia chatting zenu kama promo.
Kama hujapenda muambie tuu hutaki atumie chatting zenu kuliko kuanza milolongo ya mambo ya sheria.
Unforgetable