Naomba ushauri wa kisheria namna ya kumshughulikia jirani anayenitukana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amzibue ya kutosha mpaka akili imkae
Aaah nimekua nikisoma na kuambiwa kua Ni kosa la jinai kujichukulia sheria mkononi kama hakuna uladhima wa kufanya hivyo....
Yani ingekua ni kama njia ya kufanya self defence basi ingenibidi nifanye hivyo..
Lakini kwasasa yanipasa kutumia njia sahihi.
 
Si uhame tu ili uepuke huo ukorofi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…