BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,174
- 1,196
mwezi wa kumi na moja 2012 niliajiriwa na company moja hapa dar nkapewa mkataba but kutokana na maslahi nimeamua kutafuta kazi kwingine na nimepata so nataka niterminate mkataba na company ya kwanza,ila sasa nikisoma mashart ya mkataba wa kwanza yanasema ili niterminate contract inatakiwa nitoe 3 month notice, but kwa hii situation niliyonayo saizi siwezi kuwa na mda huo wa notice, pia wenye company wapo nje ya nchi na wanarudi mwezi wa 12 ambapo mie inatakiwa niwe nimeacha kazi huko kwao. Pale ofisin nipo na messenger peke yake ambaye naye shule ipo kidogo.Sasa sijui nifanyeje ili niache kazi ili nisiathiriwe na sheria na pia nimkabidhi nani hii ofisi kwani nahitaji kuresign fasta