Naomba ushauri wa kitaalam: Muembe unadondosha maembe machanga karibu yote

supercool

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
49
Reaction score
13
Assalam alykum. Naomba msaada.

Huu muembe wangu unadondosha embe changa karibu ya zote.

Nimetumia dawa ya wadudu na ile nyongeza ya vitamin lakini bado.

Nifanyeje?
 
Dawa ipi ya wadudu?

Tumia ile ya kuzuia fruit flies na inatakiwa iwekwe wakati muembe unatoa maua.
 
Assalam alykum. Naomba msaada.

Huu muembe wangu unadondosha embe changa karibu ya zote.

Nimetumia dawa ya wadudu na ile nyongeza ya vitamin lakini bado.

Nifanyeje?
POLE NA KWANGU HIVYO HIVYO. Muembe ulikuwa na maembe kma 1,000 sasa yamebaki kama 100... NILIPIGA DAWA LAKINI HAIKUSAIDIA LOLOTE. nITAIWEKA KESHO NAWE UJARIBU
 
baadhi ya sababbu zinazosababisha mche kunagusha matunda machanga ni

1.Mabadiliko ya hali ya hewa,kutoka joto kali-baridi.

2.Kumwagilia maji mengi

3.Kuweka mbolea kwa uwiano usio sawa

4.Magonjwa

6.Kushindwa kufuata kanuni bora za kilimo
 
POLE NA KWANGU HIVYO HIVYO. Muembe ulikuwa na maembe kma 1,000 sasa yamebaki kama 100... NILIPIGA DAWA LAKINI HAIKUSAIDIA LOLOTE. nITAIWEKA KESHO NAWE UJARIBU
Kama sio dawa ilikuwa feki basi ulikosea dawa
 
Hii sijui ni dawa au ulozi, ila kama unaweza jaribu piga msumari kwenye huo muembe. Nyumbani kulikua na shida hiyo akaja bibi mmoja kututembelea akatuambia tufanye hivyo baada yapo muembe haujaangusha tena maembe.
 
si kweli,nimefana hivyo miembe yote lakini ymepukutika kishenzi
 
Hii sijui ni dawa au ulozi, ila kama unaweza jaribu piga msumari kwenye huo muembe. Nyumbani kulikua na shida hiyo akaja bibi mmoja kututembelea akatuambia tufanye hivyo baada yapo muembe haujaangusha tena maembe.
Huo sio ulozi bali umecheza na saikolojia ya muembe tu hivyo basi kugonga msumari muembe utafikiri unataka kukatwa hivyo ili uweze kuacha kizazi chake hai huzaa matunda ili kutunza uzao pia hata kama utataka usiwe na mpapai dume we piga msumari kwenye mpapai tu

simple logic ndio iyo
 
Sasa mkuu kuna uhusiano gani Kati ya msumari na kukata mti? Hadi ukigonga msumari mti udhanie unataka kukatwa
 
Mi nliwahi kuambiwa "kufanya hivo ni kama unaustimulate mmea yani unapata sense kuwa kuna ugonjwa ndani yake kwahiyo sijui unarelease vitu gani ambavyo vinauboost kuzaa" sijui kweli
 
Back
Top Bottom