Naomba ushauri wa Kitaalamu kuhusu solar

Admini

Member
Joined
Aug 11, 2021
Posts
6
Reaction score
4
Habarini,

Nimenunua solar watt 40 sasa nataka kununua betri na chager controller.

Naomba ushauri wa kitaalamu kwa anaefahamu hapo natakiwa kununua betri yenye ukubwa gani na hiyo chager controller yenye ukubwa gani ambavyo vitaendana na ukubwa wa hyo solar watt40?
 
Ukiwa na uwezo chukua battery 2 za 100Ah upate 200Ah ila kama mambo sio mazuri unaweza chukua battery moja ya 100Ah na 5A Charger controller.
 
Lazima useme unategemea kuwasha nini na nini vyenye power consumptions za kiasi gani. Kumbuka kuna wakati your solar panel inalchaji betri na kuwasha ulivyoviunga
 
Watts 40 unataka kuwasha nini? Mbona ndogo sana? Kama ni matumizi ya taa na kuchaji simu sawa sio mbaya.

Hapo Unahitaji Controll Charger = 40/12 = 3.33 ,Nunua ya 5A

Battery nunua ya 20N-30N

Ila kama unataka Kuenjoy inabidi upasuke mfuko.

Nunua 400W Pannel
Battery 300N
Control Charger 40A
Inverter 500W -Nunua iliyosukwa mtaani.(Nipo Minjingu Porini ndio natumia)

Hapo Tanesco unamsikia kwenye BOMBA tu.

TV,Friji na Pasi utanunua za Solar zenye watts chache.
 
Hujaweka current ya kuchaji batri.
Na kwa usalama wa solar panel, unatakiwa uwaze batre inachajiwa na maximum current of which itashuka hadi theoretically 0 chahrging
 
Sijakuelewa kabisa mkuu ila kuhusu charging basi charge controller ndio kazi yake.

Charge contoller ina settings -charge ikijaa inastop na pia charge ikienda chini kwenye battery ina turnoff load.
 
Ipo hivi..
Solar panel huwa ina load mbili, load ya ni betri na ya pili ni hivyo unavyotaka kuwasha kwa kutumia sola panel. Sasa Solar panel yako inapeleka umeme kwenye betri na wakati huo huo kwenye load yako kama ni taa au vingine vilivyoungwa kwenye system hiyo. Chager controller inatakiwa iwe na uwezo wa kuchaji betri na vile vile iweze kupitisha umeme unaokwenda kwenye load. Hivyo 5A kwa hesabu zako ni ya kwenye betri pekee, hujawaza mzigo utakaoungwa kwenye chager controller yako.

Current inayokwenda kwenye betri itakuwa inapungua kwa kadri betri zinavyojaa
 
Okay hapo nimekupata vyema.
 
Ukiwa na uwezo chukua battery 2 za 100Ah upate 200Ah ila kama mambo sio mazuri unaweza chukua battery moja ya 100Ah na 5A Charger controller.
kwa Kioo chake cha watt 40 uwezo wake hautaweza kuzijaza hizo battery za N200 ndani ya masaa 12 ya jua. Kwa hiyo mapendekezo ni battery yenye N40 kushuka chini.
Charger controller inategemea mpangilio wa betri zako pamoja na mzigo/matumizi (Load) inayotegemewa kuwepo katika mfumo wako wa sola.
 
Back
Top Bottom