kuna mawili hapa, au vidonda vya tumbo au ugonjwa wa moyo?! kwani una umri gani?Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu sehemu ya kushoto kifuani na ubavuni...nimekwenda hospitalini mara kadhaa,nimepigwa x-ray kama mara tatu tatizo halijaonekana..badala yake nimekuwa nikipewa dawa ambazo sioni mchango wake kwa sababu hali inaendelea...sasa tumbo nalo limekuwa likinisumbua na appetite imekuwa shida kidogo....nimekunywa trinidazole,metrozole na ciproflaxin wala hazijanisaidia pia...nimepima mpaka HIV,majibu bado sijaathirika.
Je linaweza kuwa ni tatizo gani na nini naweza kufanya?
ugonjwa wa moyo hauchagui umri. nenda hospital upimwe. kafanyiwe stress test, ECG, Echocardiography, chunguzwa tumbo nk.!!Still nina miaka 26....ugonjwa wa moyo?
But what can i do at the moment...tafadhali naomba ushauri hapa!
umesema bado hujaathirika? anyway pengine matatizo yapo kwa ndani na maumivu yanaradiate kwenye mbavu zako yaani panapo uma sio penye tatizo, nenda kwenye vipimo vya moyo
jaribu aga khanNipo dar es salaam....pande za ubungo.....Nashukuru kwa ushauri wenu.
But hospitali gani naweza kupata vipimo bora kwa hapa dar?