Naomba Ushauri wa Kitaalamu

Naomba Ushauri wa Kitaalamu

Lwikunulo

Senior Member
Joined
Jun 1, 2007
Posts
110
Reaction score
35
wakuu naamini hapa n'tapata ushauri wa kitaalamu (ushauri wa kitabibu) kuhusu hali inayomkabili mke wa mdogo wangu. Amevimba mishipa ya damu kwenye mapaja...haimuumi, ila imevimba excessively. Shemeji yangu ni mja mzito.

Amekwisha onana na Madaktari wawili,
Daktari wa kwanza: alimwambia ni hali inayoweza kutokea wakati wowote mishipa kuvimba vile (hakuhusianisha na uja uzito). Ali-prescribe dawa fulani ya kupaka na kusema muda si mrefu itaisha.

Daktari wa pili: Alisema inatokana na kuwa mja mzito hivyo damu inasukumwa kutoka eneo la juu la mwili kwenda chini na hivyo kufanya mishipa ivimbe. Alisema as long as mishipa hiyo haijafika kwenye njia ya uzazi ambapo ingemwathiri mtoto wakati wa kujifungua, hakuna tatizo. Alisema mishipa hiyo itaisha/itapungua baada ya kujifungua.

-Je kuvimba huku kwa mishipa ya damu kwenye mapaja kunatokana na nini?
-mishipa hii imevimba miezi michache baada ya kupata uja uzito,je kuna athari zake kwa mama mjamzito?
-Nini tiba yale?😕
 
...wakuu naamini hapa n'tapata ushauri wa kitaalamu (ushauri wa kitabibu) kuhusu hali inayomkabili mke wa mdogo wangu. Amevimba mishipa ya damu kwenye mapaja...haimuumi, ila imevimba excessively. Shemeji yangu ni mja mzito.

Amekwisha onana na Madaktari wawili,
Daktari wa kwanza: alimwambia ni hali inayoweza kutokea wakati wowote mishipa kuvimba vile (hakuhusianisha na uja uzito). Ali-prescribe dawa fulani ya kupaka na kusema muda si mrefu itaisha.

Daktari wa pili: Alisema inatokana na kuwa mja mzito hivyo damu inasukumwa kutoka eneo la juu la mwili kwenda chini na hivyo kufanya mishipa ivimbe. Alisema as long as mishipa hiyo haijafika kwenye njia ya uzazi ambapo ingemwathiri mtoto wakati wa kujifungua, hakuna tatizo. Alisema mishipa hiyo itaisha/itapungua baada ya kujifungua.

-Je kuvimba huku kwa mishipa ya damu kwenye mapaja kunatokana na nini?
-mishipa hii imevimba miezi michache baada ya kupata uja uzito,je kuna athari zake kwa mama mjamzito?
-Nini tiba yale?😕

....wataalamu (Doctors, Nurses, Paramedics, etc) mpooo?
 
Back
Top Bottom