Mwanamke akiwa anabanwa na mkojo mara kwa mara muda nwingine anatoka kukojoa lakini baada ya dakika tano tu anabanwa tena lakini hajisikii maumivu wala kuchoka wala dalili zingine za magojwa je hii husababishwa na nini na je ni tatizo la kiafya na je tiba yake ni nini?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
>huyo mwanamke ni mjamzito?
>Kibiologia hali hii ni kawaida sana kwa mama mjamzito kwani tumbo la uzaz unyang'anya nafasi ya kibofu hivyo bas kibofu huwa kidogo na ujaa haraka.
U.T.I pia