Naomba ushauri wa kozi ambazo ni nzuri kusomea

tranter

Member
Joined
Jan 10, 2023
Posts
40
Reaction score
46
Wasalaam?

Ungana na kichwa Cha habari hapo juu,Mimi ni kijana form6 leaver(PCM )nilikua naomba ushauri kwa course ambazo ni nzuri kwa kusomea na rahisi pia katika kujiajiri ukizingatia suala la ajira ni kipengele kwa Sasa.

Miongoni mwa course hizo ambazo ningependa kupewa ushauri zaidi ni pamoja na:

1. Mechatronics Engineering,
2. Computer Engineering & Information Technology,
3. Biomedical Engineering,
4. Acturial Science,
5. Cyber Security & Digital Content Engineering.

Nahitaji mawazo yenu zaidi.

Nawasilisha
 
inategemea na desire ya mtu

zote hapo zinafaa tu ila hiyo no;4 siijui
 
Wasalaam?

Ungana na kichwa Cha habari hapo juu,Mimi ni kijana form6 leaver(PCM )nilikua naomba ushauri kwa course ambazo ni nzuri kwa kusomea na rahisi pia katika kujiajiri ukizingatia suala la ajira ni kipengele kwa Sasa.

Miongoni mwa course hizo ambazo ningependa kupewa ushauri zaidi ni pamoja na,
1. Mechatronics Engineering,
2. Computer Engineering & Information Technology,
3. Biomedical Engineering,
4. Acturial Science,
5. Cyber Security & Digital Content Engineering.

Nahitaji mawazo yenu zaidi.

Nawasilisha
Kwani mechatronics ishaanza kutolewa ngazi ya Bachelor hapa Tanzania? Nakumbuka ilikuwa diploma tu pale DMI.
Kuhusu kozi nzuri inategemea na wewe mwenyewe unapenda nn hapo, ukiwa na passion na kozi unayochagua unaweza kujitengeneza uweze kujiajiri (huwezi kujiajiri kama huna skills na huwezi kuwa na skills kama husomi)
 
Yah mechatronics kwa sasa ipo kwa ngazi ya bachelor degree. (ATC)
 
Wasalaam?

Ungana na kichwa Cha habari hapo juu,Mimi ni kijana form6 leaver(PCM )nilikua naomba ushauri kwa course ambazo ni nzuri kwa kusomea na rahisi pia katika kujiajiri ukizingatia suala la ajira ni kipengele kwa Sasa.

Miongoni mwa course hizo ambazo ningependa kupewa ushauri zaidi ni pamoja na,
1. Mechatronics Engineering,
2. Computer Engineering & Information Technology,
3. Biomedical Engineering,
4. Acturial Science,
5. Cyber Security & Digital Content Engineering.

Nahitaji mawazo yenu zaidi.

Nawasilisha
Je vp kuhusu aircraft maintenance
 
Back
Top Bottom