Kwani mechatronics ishaanza kutolewa ngazi ya Bachelor hapa Tanzania? Nakumbuka ilikuwa diploma tu pale DMI.Wasalaam?
Ungana na kichwa Cha habari hapo juu,Mimi ni kijana form6 leaver(PCM )nilikua naomba ushauri kwa course ambazo ni nzuri kwa kusomea na rahisi pia katika kujiajiri ukizingatia suala la ajira ni kipengele kwa Sasa.
Miongoni mwa course hizo ambazo ningependa kupewa ushauri zaidi ni pamoja na,
1. Mechatronics Engineering,
2. Computer Engineering & Information Technology,
3. Biomedical Engineering,
4. Acturial Science,
5. Cyber Security & Digital Content Engineering.
Nahitaji mawazo yenu zaidi.
Nawasilisha
Yah mechatronics kwa sasa ipo kwa ngazi ya bachelor degree. (ATC)Kwani mechatronics ishaanza kutolewa ngazi ya Bachelor hapa Tanzania? Nakumbuka ilikuwa diploma tu pale DMI.
Kuhusu kozi nzuri inategemea na wewe mwenyewe unapenda nn hapo, ukiwa na passion na kozi unayochagua unaweza kujitengeneza uweze kujiajiri (huwezi kujiajiri kama huna skills na huwezi kuwa na skills kama husomi)
Ipo ATC na DMI.Yah mechatronics kwa sasa ipo kwa ngazi ya bachelor degree. (ATC)
Je vp kuhusu aircraft maintenanceWasalaam?