Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Havard collage of business hiki ni chuo namba moja kwa kozi za biashara kiko nchini Marekani. Business management courses, Sales and marketing courses etcDuu biashara haisomewi bana
Unachofanya wewe unachanganya Real business na theory business certificate muelewe mtoa mada kwanza kabla ujaanza kuandika shit zako.Havard collage of business hiki ni chuo namba moja kwa kozi za biashara kiko nchini Marekani. Business management courses, Sales and marketing courses etc
Halaf kuna mtu bado anakwambia biashara haiosomewi..... Shit
Nikitaka kua mwigizaji nitatafuta chuo kinachotoa kozi za uigizaji nikasomee (japo nina kipaji) why? sabab kipaji pekee hakitoshi kinahitaji kupigwa msasa na taaluma ya uigizaji (unless kama unataka kua mwigizaji wa kawaida tu!) alichouliza mtoa mada ni kuhusu kozi ya kusomea kitu kinachoendana na "Passion" yake wewe unamwambia "biashara haiosomewi" anyway tusibishane kwenye uzi wa watu wakati ndugu yetu ameomba msaada wetu.Unachofanya wewe unachanganya Real business na theory business certificate muelewe mtoa mada kwanza kabla ujaanza kuandika shit zako.
Ok cool atajua mwenyewe mtoa madaNikitaka kua mwigizaji nitatafuta chuo kinachotoa kozi za uigizaji nikasomee (japo nina kipaji) why? sabab kipaji pekee hakitoshi kinahitaji kupigwa msasa na taaluma ya uigizaji (unless kama unataka kua mwigizaji wa kawaida tu!) alichouliza mtoa mada ni kuhusu kozi ya kusomea kitu kinachoendana na "Passion" yake wewe unamwambia "biashara haiosomewi" anyway tusibishane kwenye uzi wa watu wakati ndugu yetu ameomba msaada wetu.
Mkuu mimi nakushauri usomee Business Management courses. Zitakusaidia na kukupanua kimawazo kuhusu usimamizi wa biashara and when you will put into PRACTICE utakachosomea ndoto yako ya kua mfanyabiashara wa kimataifa itawezekana!
Nashkul kwa kunielewaNikitaka kua mwigizaji nitatafuta chuo kinachotoa kozi za uigizaji nikasomee (japo nina kipaji) why? sabab kipaji pekee hakitoshi kinahitaji kupigwa msasa na taaluma ya uigizaji (unless kama unataka kua mwigizaji wa kawaida tu!) alichouliza mtoa mada ni kuhusu kozi ya kusomea kitu kinachoendana na "Passion" yake wewe unamwambia "biashara haiosomewi" anyway tusibishane kwenye uzi wa watu wakati ndugu yetu ameomba msaada wetu.
Ahsant san kiongozMkuu mimi nakushauri usomee Business Management courses. Zitakusaidia na kukupanua kimawazo kuhusu usimamizi wa biashara and when you will put into PRACTICE utakachosomea ndoto yako ya kua mfanyabiashara wa kimataifa itawezekana!