Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kati ya kozi hizi

Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kati ya kozi hizi

KASEHUYE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
299
Reaction score
60
Ipi ni kozi nzuri katika maisha ya sasa kwa level ya Diploma kati ya courses hizi, Computer Science, Business Adminstration na Community Development.

Nashukuru sana kwa hilo.
 
Zote ni nzuri ila inategemea ww unapendelea vtu gan hasa. Hapo ndio utajua ukisoma computer utapata api network vivyo hivyo na business. Kikubwa kaa chini uone ww hua unapenda nn. Kama unataka kuajiliwa vyote vitadai experience asa akili kichwani.
 
Back
Top Bottom