Mkuu Sio mke wako ndio alitakiwa awe anajua ABC za hiyo Kazi maana ipo ndani ya taaluma yake, alitakiwa kujua vibali unapataje,gharama zake, utaratibu Mzima nk
Wewe utoe msaada kwenye kutafuta eneo la Kazi, connection ya kupata hizo reagents Kwa bei nzuri, namna ya kupunguza au kukwepa Kodi nk