Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

DEAL88

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Posts
875
Reaction score
1,098
Habari za majukumu ktk ujenzi wa Taifa?

Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development Studies Ardhi bora wapi?

Ni mtoto wa kike anaomba ushauri aconfirm wapi.

Ahsante
 
ukiona wahind na warabu, wapemba na wachaga hawasomi hizo koz, basi hata wew achananazo, kwa maana hazina dili hizo. najua utanitukana ila kuna siku utanishukuru lakin itakuwa mda umeisha.
 
Kama wazaz wake hawafahamian na angalau diwani wa kata mwambie apge chn hzo SHOSHO.
 
Back
Top Bottom