Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development Studies Ardhi bora wapi?
ukiona wahind na warabu, wapemba na wachaga hawasomi hizo koz, basi hata wew achananazo, kwa maana hazina dili hizo. najua utanitukana ila kuna siku utanishukuru lakin itakuwa mda umeisha.