GBorLog Mwakyembe New Member Joined Jul 29, 2020 Posts 4 Reaction score 1 Jul 29, 2020 #1 Ndugu zangu habari ya subuhi. Naomba ushauri nataka kuanza biashara ya vitenge mkoa wa Mbeya (Tukuyu) kwa mtaji wa Tshs. million moja na nusu. Kwa hiyo naombeni ushauri wapi naweza kujumua kwa bei nafuu na inaweza kunifikia kwa urahisi, Asanteni
Ndugu zangu habari ya subuhi. Naomba ushauri nataka kuanza biashara ya vitenge mkoa wa Mbeya (Tukuyu) kwa mtaji wa Tshs. million moja na nusu. Kwa hiyo naombeni ushauri wapi naweza kujumua kwa bei nafuu na inaweza kunifikia kwa urahisi, Asanteni
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jul 29, 2020 #2 Utakuwa unachukulia wapi bosa
GBorLog Mwakyembe New Member Joined Jul 29, 2020 Posts 4 Reaction score 1 Jul 29, 2020 Thread starter #3 kinywanyuku said: Utakuwa unachukulia wapi bosa Click to expand... Nikiwa nachukulia Dar es salaam kaliakoo
kinywanyuku said: Utakuwa unachukulia wapi bosa Click to expand... Nikiwa nachukulia Dar es salaam kaliakoo