MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 331
- 210
Kuna yafuatayoNimewapangisha kampuni ya simu kwenye kiwanja changu wajenge mnara wa simu.... Kinachoniumiza ni jinsi walivyonikandamiza kwenye masharti ya mkataba... Walifuta kipengele cha ku'renew mkataba kila baada ya miaka mitatu wakaandika kwa mkono miaka ishirini kwa malipo ya milion 3 kwa mwaka. Je nawezaje kuwabana kuurejea mkataba? Kuna yeyote mwenye mkataba wa kupangisha mnara nijionee vipengele vinavyopaswa kuwa? Natanguliza shukurani!
Hizo rates ni general, ila nazifahamu sana za airtel...Mkuu Ngalikihinja nakushukuru kwa huo mwanga. Mnara upo mbeya mjini.
Je hizo rates ziko stated wapi? Na je zinapply kwa mitandao yote ya simu?
Yaani watu wengine bwana kututafuta lawama tu! Sasa wewe mkuu umekwishasaini mkataba ndo unakuja kuulizia utaratibu? Kwa nini hukukaa na huo mkataba ukajipa muda wa kuusoma vizuri na kupata ushauri kutoka kwa watu? Au ulikuwa na njaa sana na hela ulipoona 3 m ukapagawa? Sasa hiyo imkula kwako mpaka hiyo miaka 20 iishe ndo mrejee mkataba tena! Yaani wewe unasaini tu hata kama mkataba una mapungufu!!Nimewapangisha kampuni ya simu kwenye kiwanja changu wajenge mnara wa simu.... Kinachoniumiza ni jinsi walivyonikandamiza kwenye masharti ya mkataba... Walifuta kipengele cha ku'renew mkataba kila baada ya miaka mitatu wakaandika kwa mkono miaka ishirini kwa malipo ya milion 3 kwa mwaka. Je nawezaje kuwabana kuurejea mkataba? Kuna yeyote mwenye mkataba wa kupangisha mnara nijionee vipengele vinavyopaswa kuwa? Natanguliza shukurani!
Hata mimi hapo nashangaa, Inabidi asaidiwe, kama kuna jinsi ya kubadilisha huo mkataba aise...Miaka 20 ni mingi sana, Na hiyo M3 itakuja kuwa na thamani ndogo sana.Yaani watu wengine bwana kututafuta lawama tu! Sasa wewe mkuu umekwishasaini mkataba ndo unakuja kuulizia utaratibu? Kwa nini hukukaa na huo mkataba ukajipa muda wa kuusoma vizuri na kupata ushauri kutoka kwa watu? Au ulikuwa na njaa sana na hela ulipoona 3 m ukapagawa? Sasa hiyo imkula kwako mpaka hiyo miaka 20 iishe ndo mrejee mkataba tena! Yaani wewe unasaini tu hata kama mkataba una mapungufu!!
Hata mimi hapo nashangaa, Inabidi asaidiwe, kama kuna jinsi ya kubadilisha huo mkataba aise...Miaka 20 ni mingi sana, Na hiyo M3 itakuja kuwa na thamani ndogo sana.
si msomi wa msheria ila wakati nipo mdogo babaangu mkubwa aligawa mari kiukoo bila mpangalio wa kufata sheria kwa madai kuwa sisi bado wadogo tutakuwa chini yake lkn akaziendesha vibaya baadhi ya maduka yalikufa na magari kuuza ila alitusomesha vizuri tuNifafanue kidogo kilichotokea.... Mkataba huo aliusaini ndugu yangu (baba mdogo) nikiwa shule.... Walitumia uelewa wake mdogo kumkandamiza....kipindi hicho taratibu za mirathi zilikuwa hazijakamilika coz ni nyumba ya urithi....Taratibu za mirathi ziko kwenye hatua za mwisho tukabidhiwe kama watoto wa marehemu. Je mkataba huo upo uwezekano wa kutokuwa hulali coz aliyeingia nao hakuwa mmiliki kisheria? Ni moja ya alternative nafikiria kuitumia kuu'nalify huo mkataba.... Mwenye weledi kisheria anisaidie apo!