U unjuthetallest Member Joined Mar 17, 2024 Posts 5 Reaction score 14 Apr 12, 2024 #1 Wazoefu naombeni ushauri wenu kwenye hili.. nahitaji nchi ya kwenda kuuza bidhaa zangu, nauza socks kariakoo, katika kutaka kujitanua na kutafuta wateja ni Wapi katika hawa jirani zetu panaweza kufaa? Kati ya Congo, Malawi, Zambia au Msumbiji?
Wazoefu naombeni ushauri wenu kwenye hili.. nahitaji nchi ya kwenda kuuza bidhaa zangu, nauza socks kariakoo, katika kutaka kujitanua na kutafuta wateja ni Wapi katika hawa jirani zetu panaweza kufaa? Kati ya Congo, Malawi, Zambia au Msumbiji?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Apr 13, 2024 #2 Congo
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Apr 13, 2024 #3 Na bora umeitoa uganda maana kule ndo kabisa usingepata soko
D Duksi JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 229 Reaction score 576 Apr 13, 2024 #4 Nenda nchi au miji yenye baridi na wakazi wengi hapo utauza. Mfano nairobi, arusha, sijui kuhusu congo
Nenda nchi au miji yenye baridi na wakazi wengi hapo utauza. Mfano nairobi, arusha, sijui kuhusu congo
U unjuthetallest Member Joined Mar 17, 2024 Posts 5 Reaction score 14 Apr 13, 2024 Thread starter #5 Half american said: Congo Click to expand... Safi kaka, congo mji gani? Unaweza nipa mwongozo?
Witch hunter JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 2,106 Reaction score 5,806 Apr 13, 2024 #6 Kwa USA lazima upige pesa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Apr 13, 2024 #7 unjuthetallest said: Safi kaka, congo mji gani? Unaweza nipa mwongozo? Click to expand... Nna jamaa yangu yupo lubumbashi ila biashara nyingine sio mavazi.
unjuthetallest said: Safi kaka, congo mji gani? Unaweza nipa mwongozo? Click to expand... Nna jamaa yangu yupo lubumbashi ila biashara nyingine sio mavazi.
U unjuthetallest Member Joined Mar 17, 2024 Posts 5 Reaction score 14 Apr 13, 2024 Thread starter #8 Je unaweza niunganisha nays?