Naomba ushauri wa ramani

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
554
Habar ya wakat huu ndugu wadau wa JF na jukwaa la ujenzi.

Nipo kwnye mchakato wa kujenga nyumba/ viappartments vya kupangisha hvyo nimeonelea nije hapa jukwaani kwa kuwa naamini kuna fursa ya kupata design mbalimbal za raman ya nyumba HASA HASA apartments za chumba self, sebule na baraza, pia vyumba 2 self, sebule na baraza. Zaidi sana nimelenga kutoa huduma kwa bachelor na small family.

Naomba msaada tafadhali.
 
Mara nyingi ramani zinauzwa. Unapaswa ueleze kuwa vyumba ni vingapi, na kiwania chako kina ukubwa gani , na eneo likoje Yaani bonde, mteremko kiasi au bondeni. N. Kmimi sio mtaalamu watakuja
 
Nadhan ukiptia maelezo yang kwa kina utagundua ulichouliza ndugu labda kuhusu eneo ni Tambarare kabisa, ukubwa ni 17*30 (upana kwa urefu) lengo pia tadhal rejea kuchwa cha thread.

Ushaur pia juu ya aina gan ya appartments designs za gharama nafuu, kwa michoro pia ntashukuru sanaa.

NB: Nalenga kufanya ujenzi wa gharama nafuu si kifahari lakin wa kuvutia. Mfano tofali zitakuwa za kuchoma.
 
Jaman wadau najua raman zinauzwa n.k.....hapa jukwaan tunasaidiana....hvyo naomba kwa ambaye amejenga kwake au kwa rafk, tafadhal share na mm..
 
Jaman wadau najua raman zinauzwa n.k.....hapa jukwaan tunasaidiana....hvyo naomba kwa ambaye amejenga kwake au kwa rafk, tafadhal share na mm..
Nakushauri utafute mtaalam akuchoree maana hujajua umuimu wa ramani na kua ramani inategemean na mazingira yako yalivyo na maitaj yako.

Unaweza ukapat ramani ya mtu ila ukiipelek kwako haitafaa uje kulia tena badae umu kua mjengo wako mzunguko wa hewa mdogo au harufu za ny'aa xnarudi ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…