Habari za wakati huu wanajukwaa.
Ninataka kufanya ufugaji wa ng'ombe wenye tija ila niko njia panda kuhusu wapi kuna faida zaidi kati ya kufuga ng'ombe dume au majike.
Nilihitaji kuanza na ndama watatu ambao sio wale wa kienyeji kabisa bali chotara kiasi.
Hapa nipo njia panda nichukue ndama jike ili baadae niuze na maziwa au nichukue ndama dume ambao nitawalisha tu baadae niwauze?
Nawasilisha.
Helloo
Kuna namna mbili, MBEGU NA CHAKULA...ningekushauri kama uko ukanda wa PWANI andaa chakula cha ngombe cha six month, you can lima,,,,,mahindi, mtama,,,bracharia,alfafa then make silage..banda liwe visuri ngombe asipigwe jua kali.. wala vyua, you can buy cow mat,,,godoro la ngombe la kulalia...
andaa M2.5 nenda Tanga nunua ngombe wakienyeji aliyepandikizwa na mbegu ya ngombe wa kisasa..usifuge dume...ni hasara ukihitaji dume utatafuta wanaosell mbegu
La muhimu kama unafuga ngombe kwa ajili ya milk.......
kama ni kunenepesha. start with food, hakikisha unalima majani ya kutosha yavune yahifadhi sehemu salama,,,,mfano kipindi hiki cha kiangai wafugaji wanauza ngombe kwa bei rahisi saaana , nenda nunua kuanzia laki na nusu...unaleta then unaanza wanenepesha
MUHIMU lazima uwe na maji,,,,,,muangalizi anayejua mifugo.......ulinzi dhabiti....wakati huo unamuomba na Mungu akusimamie na kubariki mradi wako utatoboa
Kila la kheri