Naomba ushauri wa ununuzi wa kiwanja

.....mi naungana na wachangiaje wa mwanzo kwa ukaribu wa mjini bora ukajemge makongo juu kama ni matumizi ya kuishi mwenyewe,ila kama unataka ku invest nenda iringa kanunue eneo ujenge hostel kwan zinalipa sana ila kikubwa upate kiwanja kilichopimwa na serikali mm mwenyewe nimenunua chanika ila kuna foleini sana kuazia airport njia panda ya segerea banana na gongo la mboto yenyewe na uthamani wa nyumba aupanda sana kama ungejenga mbweni bunju makongo juu na tuangoma.
 
Uko sahihi mkuu, eneo linaitwa Buyuni ni kuzuri sana. Mm nimejenga kule.

Kutoka buyuni kufika karikoo ni dakika ngapi? Vipi usafiri na Miundombinu ya kukuleta mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…