the big fish
Member
- Jun 26, 2022
- 64
- 96
Unamaanisha zile engine za diesel za piston moja wanazotumia pia kwenye karasha za dhahabu?Mkuu tafuta mashine zile za kusaga then nenda Alibaba / AliExpress angalia kinu cha kusukuma maji oda mzigo....
YeahUnamaanisha zile engine za diesel za piston moja wanazotumia pia kwenye karasha za dhahabu?
Huo ni mziki mwingine, inasukuma zaidi ya km 1Unamaanisha zile engine za diesel za piston moja wanazotumia pia kwenye karasha za dhahabu?
Hii pump inapatikana Dar es Salaam?Huo ni mziki mwingine, inasukuma zaidi ya km 1
ZipoHii pump inapatikana Dar es Salaam?