Naomba ushauri wa wazo la biashara

silyivia

New Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Nataka kufanya biashara ya mazao naomba msaada wa mawazo na kwa yeyeto anaeweza kunisaidia sehemu yenye urahis wa upatikanaji wa mazao yenyewe!Nipo Mwanza
 
Nataka kufanya biashara ya mazao naomba msaada wa mawazo na kwa yeyeto anaeweza kunisaidia sehemu yenye urahis wa upatikanaji wa mazao yenyewe!Nipo Mwanza
Swali je? Unahitaji kuanza biashara ya mazao ya aina gani,ni vizuri ukijua au ukishughulika na zao 1

Chamsingi ukishajua aina ya zao,inatakiwa ujue zao hilo linapatikana kwa wingi mkoa gani ili upate kwa bei nafuu

Pia kuangalia soko la zao hilo kabla ya kuanza biashara ni muhimu sana,ili kuepuka hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…