Wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2007 na matokeo yalikuwa MATH;C ,CIVICS;B ,PHY'S;C ,BIOS;C ,CHEM;D ,GEOG;D ,ENG;D ,KISW;C..Nilishindwa kusoma kutokana na sababu za kiuchumi....mwaka huu nimeona nijiunge na Chuo. Je naweza kupata Chuo cha Ualimu au chuo cha Afya?..na je kwa matokeo haya nitaanza na diploma au Certificate..?