Marathon Muziki
Member
- Sep 17, 2018
- 25
- 23
Asante kwa ushauri wako brotherMusic is business bro!
Licha ya kuwa na uwezo mzuri wa kuandika mashairi na kuimba, lakini pia jambo la KUWEKEZA ni muhimu sana
Unapaswa kuwekeza kwa kiasi kinachoendana na career yako, hasa kweny production na promotion
Watu wanataka muziki mzuri, kuanzia mashairi hadi uzalishaji (hasa kwa msanii anayeanza km ww), hivyo ukijitahidi kuongeza nguvu hapo, naimani utaliona tundu litalokufikisha kanan
Promotion nayo inahitaji nguvu kubwa, iwe ya pesa au watu...maana hakuna atayesikia/kuona wimbo wako pasipo kuona tangazo lake.
Mwisho jenga heshima kwa watu iwe wa mtaani au wana-tasnia wenzako, kuwa na matumizi sahihi ya pesa unayoingiza, mtegemee mungu wako n.k utafikia malengo tu
Kwani ameshatoka selo?Muone MASQO
Lini MASQO kaenda sello??Kwani ameshatoka selo?
Masqo si ni deo kisandu amaah! Au nimechanganya mafaili?Lini MASQO kaenda sello??
Mkuu, unapatikana wapi?Habari ndugu zangu wanaJF kwa Majina naitwa Marathon Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva Upcoming Artist.
Naomba ushauri wenu kulingana na kazi yangu hii na nyingine nyingi nilizofanya kitu gani nikifanye ili niweze kufika mbali ,naomba nikuwekee Link ambayo itakupeleka kwenye YouTube Channel yangu kuitazama video yangu yote ambayo ni: ==>
Au unaweza kudownload kipande kidogo kilichopo hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]
Naomba nitoe shukrani kwa wale wote ambao watanishauri na kunifollow Instagram account @officialmarathontz
Written by Marathon Muziki
Ningekuwa na pesa ningemchukua nimmenejiMusic is business bro!
Licha ya kuwa na uwezo mzuri wa kuandika mashairi na kuimba, lakini pia jambo la KUWEKEZA ni muhimu sana
Unapaswa kuwekeza kwa kiasi kinachoendana na career yako, hasa kweny production na promotion
Watu wanataka muziki mzuri, kuanzia mashairi hadi uzalishaji (hasa kwa msanii anayeanza km ww), hivyo ukijitahidi kuongeza nguvu hapo, naimani utaliona tundu litalokufikisha kanan
Promotion nayo inahitaji nguvu kubwa, iwe ya pesa au watu...maana hakuna atayesikia/kuona wimbo wako pasipo kuona tangazo lake.
Mwisho jenga heshima kwa watu iwe wa mtaani au wana-tasnia wenzako, kuwa na matumizi sahihi ya pesa unayoingiza, mtegemee mungu wako n.k utafikia malengo tu
Mkuu, unapatikana wapi?
Ningekuwa na pesa ningemchukua nimmeneji
Salama jabir kwenye ubora wako ila konde boy ulimwambia kama hivi usikatishe tamaaMi nakushauri utafute kazi ya maana kwasababu kuimba hujui.
Unajuaaa kaza buti ππππHabari ndugu zangu wanaJF kwa Majina naitwa Marathon Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva Upcoming Artist.
Naomba ushauri wenu kulingana na kazi yangu hii na nyingine nyingi nilizofanya kitu gani nikifanye ili niweze kufika mbali ,naomba nikuwekee Link ambayo itakupeleka kwenye YouTube Channel yangu kuitazama video yangu yote ambayo ni: ==>
Au unaweza kudownload kipande kidogo kilichopo hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]
Naomba nitoe shukrani kwa wale wote ambao watanishauri na kunifollow Instagram account @officialmarathontz
Written by Marathon Muziki
Salama jabir kwenye ubora wako ila konde boy ulimwambia kama hivi usikatishe tamaa