Naomba ushauri Wako kuhusu Matokeo haya

Dangerm

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
87
Reaction score
9
Heshima yenu wakuu!! 2012 nimemaliza o_level nikapata dv4 ya points 26.,
hist_c,
kisw_c,
civ_d,
geo_d,
engl_d,
bios_d,
chem_d,
math_f
nimejarbu kuomba ualimu pamoja na vyuo vya afya vyote nimekosa,,naomba ushauri wako nifanyeje ili kabla mwaka huu haujaisha niende shule maana jinsi navyozid kukaa nyumban sifa nazo zinapungua,,
pia naomba kuuliza je kwa matokeo haya naweza kujiunga na advanced level??
ushauri wako ni muhimu sana kwangu...! NAWATAKIA KAZI NJEMA!
 
pesa 2 kijana vyuo vya private nafasi kibao kwa uo ufaulu wako try semuko tanga ada zao bei sawa na bure
 
Vyuo kibao mshiko ndio kila ki2, kama umri unakuruhusu nenda jesh ndipo baadae utapata nafas nzur ya kuendeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…