habarn wanajamvi! mm ni kjana wa umri wa miaka 19..nilimalza A_level 2012 Nkapata dv4 ya points 26..
Kiukwel napenda sana kujifunza sana na kujua zaid mambo mbalmbali yahusuyo Internet,Networking,computer programming,Windows,MS DOS,Hardware na software (hayo ni machache kiujumla mambo yote yahusuyo Technology)
Je matokeo yangu yanafaa kuchukua hzo koz? na km yanafaa wap nianzie na ushaur mwingine km upo naomben wadau plz.