Pole zake... Ila the way umeelezea ni kana kwamba huyo rafiki yako tatizo kubwa ni kwamba hana mpenzi sasa. Zingatia kua yule mpenzi wake wa kwanza kamuacha mwenyewe sababa ya mwingine (ambae inawezekana alimpenda zaidi); Bahati mbaya huyo hajampenda na kampotezea... Sioni kama kuna ulazima wa kurudi kwa wazamani sababu tu huyu wasasa kampotezea... Asiwe na haraka, a relax na asubiri vitu viende kwa nafasi, With time atapata mwingine wa kuwa nae... Ila itakua sio ustaarabu kutaka kuharibu mahusiano ya wa kale na hali alimuacha mwenyewe.... Kikubwa mwambie rafikiyo mapenzi hayalazimishwi, aende taratibu.