Naomba ushauri wakokuhusu kufanya biashara na kazi

Naomba ushauri wakokuhusu kufanya biashara na kazi

Mie ninafanya biashara za sendol za kimasai , ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya sendol ila kabla sijaweka muhuri nishaurini. Tadhali
Ungetulia uandike vizuri ili tukuelewe maana hapo umeandika kama mtu anaekimbia, ni ngumu kuelewa cha kukushauri
 
Mie ninafanya biashara za sendol za kimasai , ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya sendol ila kabla sijaweka muhuri nishaurini. Tadhali
Sasa hapo tunakushaurije
Kama umepata ajira nenda kafanye Kama unaona inalipa kuliko hizo sendo.[emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Alisikika msemaji mmoja akisema ajira hamna hivyo tujiajiri ...

Kama ajira uliyo jiajiri hailipi tafuta nyingine ya kujiajiri inayolipa
 
Sasa ungeweka bayana wewe ni mtaalamu wa kitu gani kwa maana ya cheti chako na ni level gani, upande mwingine sema upo tayari kufanya kazi gani pengine mwajiriwa wako mtarajiwa yupo hapa ndani anasoma nyuzi yako.

Halafu sio sendols ni Sandals.
 
Ajira ya kawaida utakaa ofisini masaa 6-10 kwa siku, muda wa biashara utautoa wapi??
Bado vita vya wenyewe kwa wenyewe humo ofisini katika mfumo wa majungu, maneno, lawama, dharau, kushushana, kupigwa vingumbo etc. Hapo akili na dish lazima viyumbe.
 
Mie ninafanya biashara za sendol za kimasai, ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya sendol.

Ila kabla sijaweka muhuri nishaurini Tadhali
kwa huu mwandiko naona kabisa unaenda kukosa vyote
 
Kwani lazima uuze sandals za kimasai hata kama hazitoki? Nadhani hii hali ya kuwa king'ang'anizi ndo inakuangusha.
 
Back
Top Bottom