tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
Mie ninafanya biashara za sendol za kimasai , ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote ila kabla sijaweka muhuri nishaurini. Tadhali
Nataka nitafute kazi napia niendele na hii biashara ya sendolvyote vinini 😳😳
namimi nilitaka kuulza afanye vyote vinini?Ufanye vyote pamoja na kipi??
Ungetulia uandike vizuri ili tukuelewe maana hapo umeandika kama mtu anaekimbia, ni ngumu kuelewa cha kukushauriMie ninafanya biashara za sendol za kimasai , ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya sendol ila kabla sijaweka muhuri nishaurini. Tadhali
Ajira ya kawaida utakaa ofisini masaa 6-10 kwa siku, muda wa biashara utautoa wapi??Nataka nitafute kazi napia niendele na hii biashara ya sendol
oooh vizuri, fanya vyoteNataka nitafute kazi napia niendele na hii biashara ya sendol
unafel wapi mwanateknolojia ww?Nataka nitafute kazi napia niendele na hii biashara ya sendol
Tayari unayo kazi ya kufanya, endelea nayo wakati unafanya jitihada za kupata nyingine. Ukisema unaiacha hiyo ni hatari kwasababu haujui ni lini utaipata hiyo nyingine.Nataka nitafute kazi napia niendele na hii biashara ya sendol
Sasa hapo tunakushaurijeMie ninafanya biashara za sendol za kimasai , ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya sendol ila kabla sijaweka muhuri nishaurini. Tadhali
Bado vita vya wenyewe kwa wenyewe humo ofisini katika mfumo wa majungu, maneno, lawama, dharau, kushushana, kupigwa vingumbo etc. Hapo akili na dish lazima viyumbe.Ajira ya kawaida utakaa ofisini masaa 6-10 kwa siku, muda wa biashara utautoa wapi??
kwa huu mwandiko naona kabisa unaenda kukosa vyoteMie ninafanya biashara za sendol za kimasai, ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya sendol.
Ila kabla sijaweka muhuri nishaurini Tadhali