Naomba ushauri wakulima wenzangu

Naomba ushauri wakulima wenzangu

Maziku Mlalu

Member
Joined
Aug 6, 2023
Posts
14
Reaction score
11
Ni miuondo mbinu ipi mizuri ya umwagiliaji inayofaa zaidi katika Kilimo Cha umwagiliaji
 
Drip irrigation mm ndio ninayo tumia na pia nina wafungia watu pia tuwasiliane ukitama mfumo huu na kukushauli zao lipi na soko lake 0620345862
 
Mfumo bora wa umwagiliaji hutegemea mambo yafuatayo

Hayo yatakuonga utumie aina ipi ya umwagiliaji

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Aina ya mazao ni Kilimo Cha mboga mboga kwa ujumla pamoja na mazao ya nafaka.
Aina ya udongo n kichanga.
Chanzo Cha maji ni bwawa kubwa ambalo Lina urefu MITA 60 upana MITA 30 kina MITA 2
 
Aina ya mazao ni Kilimo Cha mboga mboga kwa ujumla pamoja na mazao ya nafaka.
Aina ya udongo n kichanga.
Chanzo Cha maji ni bwawa kubwa ambalo Lina urefu MITA 60 upana MITA 30 kina MITA 2
Nafaka ukiacha mpunga tumia drip irrigation ila kwa mbogamboga zote tumia drip n nzuri

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom