Naomba Ushauri Wana Jamvi

Naomba Ushauri Wana Jamvi

Fungomali

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Niliomba Nafasi Ya Masomo Ya Stashahada Ya Elimu Ya Msingi Mimi Ni Mwalimu,jina Langu Limetoka Nimepata Nafasi,tatizo Langu Ni Halmashauri (.,..) Walitoa Majina Ya Walioruhusiwa Kwenda Kusoma Langu Halipo,je Nifanyeje Naomba Ushauri,
 
Back
Top Bottom