F Fungomali Member Joined Jul 21, 2014 Posts 27 Reaction score 4 Sep 4, 2014 #1 Niliomba Nafasi Ya Masomo Ya Stashahada Ya Elimu Ya Msingi Mimi Ni Mwalimu,jina Langu Limetoka Nimepata Nafasi,tatizo Langu Ni Halmashauri (.,..) Walitoa Majina Ya Walioruhusiwa Kwenda Kusoma Langu Halipo,je Nifanyeje Naomba Ushauri,
Niliomba Nafasi Ya Masomo Ya Stashahada Ya Elimu Ya Msingi Mimi Ni Mwalimu,jina Langu Limetoka Nimepata Nafasi,tatizo Langu Ni Halmashauri (.,..) Walitoa Majina Ya Walioruhusiwa Kwenda Kusoma Langu Halipo,je Nifanyeje Naomba Ushauri,