L lakshi Member Joined Aug 16, 2012 Posts 30 Reaction score 7 Dec 29, 2013 #1 mimi nasoma shahada ya kwanza ya ualimu ..Bed-English...niko mwaka wa 3.. ningependa sana kusoma postgraduate diploma ya international relation management... kuna chuo Tanzania? na nitapata ajira? maana ninapenda sana kufanya kazi hizo..
mimi nasoma shahada ya kwanza ya ualimu ..Bed-English...niko mwaka wa 3.. ningependa sana kusoma postgraduate diploma ya international relation management... kuna chuo Tanzania? na nitapata ajira? maana ninapenda sana kufanya kazi hizo..
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Dec 29, 2013 #2 Una umri gani kijana?
Mshua's JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 804 Reaction score 553 Dec 30, 2013 #3 Nenda chuo cha utumishi wa umma 'Magogoni' kaulizie nasikia huwa yapo hayo mambo!
paparazzi JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 572 Reaction score 145 Dec 30, 2013 #5 Shika chaki mwalimu, acha tamaa ya pesa...
sebastian karim Member Joined Jul 6, 2013 Posts 22 Reaction score 1 Dec 31, 2013 #6 Ajira juhudiyako tu!!!!!!