Kama kichwa cha habari kisemavyo, wale wajuzi wa magari pia wale wenye uzoefu na hizi gari DAEWOO NUBIRIA naombeni ushauri wenu wa jinsi hii gari ilivyo.
- Ubora
- Upatikanaji wa spare
- Na changamoto za hii gari zikoje?
Ni gari nataka kuichukuwa kwaajili ya kufanyia biashara.