Naomba ushauri wenu kuhusu changamoto na za hizi brand za asus

Naomba ushauri wenu kuhusu changamoto na za hizi brand za asus

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Habari za jion waheshimiwe Nina mpango wa kununua hii laptop aina ya Asus vivobook 15

Core i3 gen 10th

Nimeona inasifa nzuri na bajeti yangu inaendana Kuan mdau anaiuza Kwa 400K naona Iko powa Kwa gaming na bajeti yangu atleast inarun 19 na 23

Naomba ushauri wenu kuhusu changamoto na za hizi brand za asus maana sijawahi tumia Kabisa
IMG-20240426-WA0005.jpg
 
Stori kidogo kuhusu Asus ni kwamba ilianzishwa na wa fanyakazi wa Acer ambazo zote ni kampuni za Taiwan. Asus sasahivi ni kampuni namba tano duniani kwa uuzaji wa Kompyuta. Asus ana tengeneza motherboard zake mwenyewe kama zilivyokampuni nyingi za Taiwan ambapo kampuni kama Microsoft inatengenezewa motherboards na hawa Asus. Pia Asus ndio wazalishaji wa bidhaa za VIVO. Mengine ni Brand tu lakini Asus wapo vizuri.
 
Back
Top Bottom