Stori kidogo kuhusu Asus ni kwamba ilianzishwa na wa fanyakazi wa Acer ambazo zote ni kampuni za Taiwan. Asus sasahivi ni kampuni namba tano duniani kwa uuzaji wa Kompyuta. Asus ana tengeneza motherboard zake mwenyewe kama zilivyokampuni nyingi za Taiwan ambapo kampuni kama Microsoft inatengenezewa motherboards na hawa Asus. Pia Asus ndio wazalishaji wa bidhaa za VIVO. Mengine ni Brand tu lakini Asus wapo vizuri.