jane_000
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 547
- 43
wana jamii forum leo nimepata picha bwana wangu anakula denda na mwanamke ambaye mimi simjui nilipo muliza mwanamke wangu hii picha mmepiga wapi akasema maeneo ya mwenge na sio kweli nilivyo mbana akanipeleka sehemu nyengine ndio akasema alipo piga hiyo picha nikiwauliza wa hudumu wakasema hakuna kitu kama hicho na boyfriend wangu kasema uongo mara kwanza naomba ushauri wenu pls sitaki matani leo jane yamenikuta huyu jamaa nilikuwa na mpenda kweli naomba ushauri wenu