Jane-000!, Jane-000!, Jane-000!, Nnao ushauri mzuri ka ajili yako, lakini kabla ya kukushauri, hebu kwanza tuambie wewe ni jinsi gani. Ni mara kadhaa unaandika jinsia moja halafu unajisahau unaandika jinsia nyengine. Kuna watu wamekushutumu kuwa wewe ni dume. Tuambie ukweliwana jamii forum leo nimepata picha 1. bwana wangu anakula denda na mwanamke .....nilipo muliza 2.mwanamke wangu hii picha mmepiga wapi
Jane-000!, Jane-000!, Jane-000!, Nnao ushauri mzuri ka ajili yako, lakini kabla ya kukushauri, hebu kwanza tuambie wewe ni jinsi gani. Ni mara kadhaa unaandika jinsia moja halafu unajisahau unaandika jinsia nyengine. Kuna watu wamekushutumu kuwa wewe ni dume. Tuambie ukweli
Hahaha! Si aseme tu, washabiki wamo humu ingawa wamejificha.Wame msahau kwenye shindano la shemale.
Jane-000!, Jane-000!, Jane-000!, Nnao ushauri mzuri ka ajili yako, lakini kabla ya kukushauri, hebu kwanza tuambie wewe ni jinsi gani. Ni mara kadhaa unaandika jinsia moja halafu unajisahau unaandika jinsia nyengine. Kuna watu wamekushutumu kuwa wewe ni dume. Tuambie ukweli
Kwa mbaali jane na posts zako unashabihiana na member mmoja ambaye hatokei jukwaani aendaye kwa jina la 'NOT ENOUGH',
Threads zako hazipati suluhisho hata ufanyaje, lazima unakuja kivingine tu. Otherwise, pole sana jane!
Mimi mwanamkeJane-000!, Jane-000!, Jane-000!, Nnao ushauri mzuri ka ajili yako, lakini kabla ya kukushauri, hebu kwanza tuambie wewe ni jinsi gani. Ni mara kadhaa unaandika jinsia moja halafu unajisahau unaandika jinsia nyengine. Kuna watu wamekushutumu kuwa wewe ni dume. Tuambie ukweli
I have no idea what ur sayingKwa mbaali jane na posts zako unashabihiana na member mmoja ambaye hatokei jukwaani aendaye kwa jina la 'NOT ENOUGH',
Threads zako hazipati suluhisho hata ufanyaje, lazima unakuja kivingine tu. Otherwise, pole sana jane!
Hata mie nimesoma mara mbili mbili na kuhisi kwamba ama ni uandishi tu wa hadithi au kuna tatizo jingine!!
Ngoja tumsubiri ajibu....ili tumshauri kwamba aache kutishwa na picha..kuna watu wanaletewa mzigo hali na kuomwa wawasindikize na bongo flava au pambio!!
Babu DC!![/QUOTE its real happen ma dear leo ]
Asante sana jane_000 kwa taarifa.Mimi mwanamke
Jane-000!, Jane-000!, Jane-000!, Nnao ushauri mzuri ka ajili yako, lakini kabla ya kukushauri, hebu kwanza tuambie wewe ni jinsi gani. Ni mara kadhaa unaandika jinsia moja halafu unajisahau unaandika jinsia nyengine. Kuna watu wamekushutumu kuwa wewe ni dume. Tuambie ukweli
wana jamii forum leo nimepata picha bwana wangu anakula denda na mwanamke ambaye mimi simjui nilipo muliza mwanamke wangu hii picha mmepiga wapi akasema maeneo ya mwenge na sio kweli nilivyo mbana akanipeleka sehemu nyengine ndio akasema alipo piga hiyo picha nikiwauliza wa hudumu wakasema hakuna kitu kama hicho na boyfriend wangu kasema uongo mara kwanza naomba ushauri wenu pls sitaki matani leo jane yamenikuta huyu jamaa nilikuwa na mpenda kweli naomba ushauri wenu