Naomba ushauri wenu: Nataka nijenge chumba kimoja

Hongera kwa kufikiria hilo, utakuwa umefanya jambo muhimu mno. Ila hao mafundi walevi angalia nyumba yako isije kuwa ya kilevi. huko singida kuna mawe ya kujengea msingi au huwa mnatumia tofali?
Kabisa hapo kwa mafundi walevi achunge sana
Hapo kwa mafundi walevi acha a nao
 
Kwenye ujenzi nakushauri ujenge kitu simple ila kiwe kizuri, hao mafundi walevi achana nao. Jenga kajumba kadogo chenye ramani nzuri sana haswa upande wa madirisha yawe makubwa hewa ya kutosha na pia paa liwe juu sio nyumba ndogo halafu fupi.

We anza msingi ukimaliza nyanyua boma ukimaliza piga bati nenda steji kwa steji usinunue mabati wakati hata msingi bado
 
Jenga mdogo mdogo. Nashindwa kuapload picha ninge kutumia karamani ka self ya room 1 nzuri
 
Hata mbao asinunue zitapinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…