Naomba ushauri wenu ndugu zanguni

Sio kila akufuzae husema ONDOKA!!Mtu mwenyewe ameshakwambia kabisa kwamba baada ya muda atakufukuza sasa unasubiri nini?!

Amini usiamini...kuondoka mwenyewe ni bora kwa afya ya akili yako kuliko kufukuzwa kama vile sio binadamu!!Umeshaona hapo hupati amani/furaha wala mapenzi achana napo mama..
 
........kama ni kweli, unasubiri nini kuondoka? Kapime ngoma kwanza, kama upo fresh kimbia haraka.

Nadhani njia nzuri ya kulimaliza tatizo ni kukabiliana nalo, si kulikimbia.
 
........kama ni kweli, unasubiri nini kuondoka? Kapime ngoma kwanza, kama upo fresh kimbia haraka.

Nadhani njia nzuri ya kusolve tatizo ni kukabiliana nalo, si kulikimbia.
 
Kwa anavyokutesa hivyo,anajiandaa kukua,mbona unaishi na mtu asikupenda ondoka bibi unaishi jehanam hapa hapa duniani.
 
Unahitaji utulivu wa akili na mwongozo wa mwenyezi mungu kupitia maombi katika kulitatua hili tatizo.sijui wewe ni dani gani ila nakushauri ufanye maombi maalumu sambamba na kufunga ndani ya siku hizo za maombi na nakuhakikishia mungu atakujibu.kumbuka huyo ni mume na si hawara wala mchumba ama mpenzi na umeshazaa nae watoto watatu hivyo si jambo dogo la kulitolea maamuzi kirahisi na isoteshe umeshakaa nae miaka sita!ingawa hujasema ameanza kukutesa lini huo mimi ndio ushauri wangu!
 
<br />
<br />
Sasa huo wakumkorogea sumu ni ushauri au ni matope? Akisha muua yeye anaenda wapi? Hebu 2mpe mwenzetu ushauri wa maana..
 

Dada umekalia bomu la Nuklia huku ukiwa unatabasamu!.. Labda tu kama nia yako ni kujitoa muhanga kama alqaida..unatakiwa ufanye maamuzi ya haraka sana!

Kwanza okoa maisha yako na ya watoto wako... Tafuta wakili wa sheria na pata haki za kisheria za malezi ya watoto... Usiogope kulea watoto peke yako.. Amini Mungu yuko na atakusadia wakati wa dhiki.. sio kwa kukupa hela ila kukupa Moyo mgumu na uvumilivu na njia za kupona machungu...

Haina haja ya kupiga kelele kwa ndugu na jamaa haitakusaidia..Fanya yote wewe mwenyewe..
 
<br />
<br />
Think twice, atakuletea magonjwa ndani!
 

je mateso hayo yameanza wakati gani na nini hasa chanzo cha yote au mabadiliko??? katika hayo mabadiliko ulihusisha watu kujaribu kumrekebisha??? suala la ndoa na maamuzi kwenye ndoa hayataki haraka ... suala la luongea mume na mke ni la wote si kwamba mme arudi akusemeshe tu na wewe unatakiwa umsemeshe na umjue ni wakati upi wa kuongelea hiki na kile... jaribu kuwafikiria watoto kwa malezi ya one side si mazuri sana
 

Mmh! Ukisikia ndoa ndoano ndio hiyo dada.

Nikuulize kwani huna kwenu dadangu, hebu jiondokee zako anakuzeesha huyo mwisho wa siku atakuacha hata hutamaniki na mbaya zaidi ameshakuambia kwamba atakuja akuache, sasa unasubiri nini, au unasubiri akuletee na ukimwi ndo uondoke, sepa mwenzangu anaejua kesho yako ni Mungu peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…