Naomba ushauri wenu wadau

Naomba ushauri wenu wadau

wakuselo

Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Mimi ni mdada nina mpenzi tunapendana sana ila tunatumia condom ila mimi nahitaji mtoto hata kwa kumlea mimi, kama mimije nifanyeje?
 
Si muache kutumia condom...pimeni muende kavu..
 
Mimi ni mdada.nina mpenzi tunapendana sana ila tunatumia condom ila mimi nahitaji mtoto hata kwa kumlea mimi,kama mimi.je nifanyeje?

kutumia condom au kutokutumia sio sababu!! cha muhmu ni kukaa na mwenzio na kumweka wazi kuwa unataka mtoto ili mjipange na kuzaa kama mkikubaliana na Mungu akipenda maana unaweza taka mtoto wewe lakini usipate!!

wewe unachomaanisha unataka kumtegeshe bila yeye kujua na sikushauri ufanye hivyo si vyema kabisa kwa maisha ya sasa
 
yeye umemshirikisha hilo suala akasemaje? Maana hapo solution iko wazi ni kuacha kutumia kondom cha msing mjue afaya zenu
 
Mimi ni mdada.nina mpenzi tunapendana sana ila tunatumia condom ila mimi nahitaji mtoto hata kwa kumlea mimi,kama mimi.je nifanyeje?

hahahaaaa... ofkozi muache kutumia condom... unless there is something else.
 
Back
Top Bottom