naomba ushauri wenu wadau

naomba ushauri wenu wadau

ypointer4

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2010
Posts
633
Reaction score
522
kuna ndugu yangu sasa anamiaka 20 na anadai kwamba hajawahi kufanya zinaa je?kuna madhara yoyote anayo weza kupata
/ jinsia ni MVULANA
 
:yield:naomba mpe namba yangu ya simu nije kumuonyesha madhara atakayo yapata>>>>>>>>>>>>>>>uraaaaaaa nicheke mie
 
kuna ndugu yangu sasa anamiaka 20 na anadai kwamba hajawahi kufanya zinaa je?kuna madhara yoyote anayo weza kupata
/ jinsia ni MVULANA

wewe una miaka mingapi? uliwahi kufanya zinaa? madhara gani yalikukuta?.....hivi saa zingine mnaona JF ni sehemu ya kudiscuss upupu eeh
 
:yield:naomba mpe namba yangu ya simu nije kumuonyesha madhara atakayo yapata>>>>>>>>>>>>>>>uraaaaaaa nicheke mie
Hakuna madhara ambayo anaweza kupata...! Hisipokuwa madhara atayapata atapoanza zinaa!

Mshauri aendelee kuwa ivyo ivyo mpaka atakapo jaaliwa kuwa na mke wake mwenyewe. Insha'Allah Mwenyezi Mungu atamlinda na zinaa.
 
kuna ndugu yangu sasa anamiaka 20 na anadai kwamba hajawahi kufanya zinaa je?kuna madhara yoyote anayo weza kupata
/ jinsia ni MVULANA

Hilo neno mbonaaaa,sioni kama ni zuri kabisa,najua kwa ubaya wa neno lenyewe basi kuna madhara makubwa sana!!!!!!???
 
hawez kupata madhara yoyote, zaid atakuwa amejijengea heshima
 
Attachments

  • MSWAKI.jpg
    MSWAKI.jpg
    33.5 KB · Views: 40
Atayasababisha hayo mayai yawe viza,kama ni wa kiume bas atakua anaupungufu fulafulani. Kama wakike huyo ananifaaaaaaa,nileteeni nimmmbust
 
Back
Top Bottom