Chukua muda kwanza nawewe kaa kimya kama kweli naye anakupenda atakutafuta na kama anazuga hatakutafuta, take care.Poleni na majukumu yanayowakabili,
Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu
Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki sasa nikipiga cm hapokei wala sms hajibu,na hajanieleza chochote kama kapata mwingine au la sielewi nifanyeje kwa hili naomba ushauri wenu
kama unasoma soma kwanza....masomo na mapenzi havichangamani,kuhusu kutopokea simu uwezi jua nini imetokea,kwani unakaa naye karibu? kwanini usimtembelee ujue tatizo lake nini...
Labda kuna mtu kaiba simu yake, au kisha ona humfai.sim inapatikana ila haipokei
plz reply with quote in order to determined unamjibu nani?Asanteni kwa ushauri,
Is it true?khaaa! Miezi nane hujampa tunda.. Atakua kakamata voda fasta huyo
Kwanza karibu sana majukwaani kwa mara ya kwanza.
Mtembelee kwenye makazi yake...huenda amepatwa na la kupatwa!...usije ukamhukumu bure, kumbe mwenzio yuko hoooi kitandani, akiwa anaumwa ugonjwa wa kukumisi wewe!