CatherinePakaJimmy huo ugonjwa wa kummiss mtu dalili zake ni zipi?
Kajibu wote, wewe ulitaka ujibiwe???!!plz reply with quote in order to determined unamjibu nani?
Mbona unamjibia kunani?Kajibu wote, wewe ulitaka ujibiwe???!!
Poleni na majukumu yanayowakabili,
Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu
Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki sasa nikipiga cm hapokei wala sms hajibu,na hajanieleza chochote kama kapata mwingine au la sielewi nifanyeje kwa hili naomba ushauri wenu
Hata mi naona...Kwanza karibu sana majukwaani kwa mara ya kwanza.
Mtembelee kwenye makazi yake...huenda amepatwa na la kupatwa!...usije ukamhukumu bure, kumbe mwenzio yuko hoooi kitandani, akiwa anaumwa ugonjwa wa kukumisi wewe!
Kwanza karibu sana majukwaani kwa mara ya kwanza.
Mtembelee kwenye makazi yake...huenda amepatwa na la kupatwa!...usije ukamhukumu bure, kumbe mwenzio yuko hoooi kitandani, akiwa anaumwa ugonjwa wa kukumisi wewe!
Catherine usiuombe uugue huu ugonjwa just ask Kongosho atakusimulia vzuri kuhusu maumivu ya mapenzi.PakaJimmy huo ugonjwa wa kummiss mtu dalili zake ni zipi?
PakaJimmy huwa tunaanzaga hivi " nchi nzuri ya metameta uonekana kule mbaliiii......"Catherine
-Mawazo mengi,
-Ubongo kuuma sana,
-Kukosa hamu ya chakula,
-Ndoto nyingi sana, zote za anayeutesa moyo wako.
-Kuona kizunguzungu sana na kupata kifafa cha mda, kitaalamu tunaita 'Hysteria'
-Usipotibiwa haraka hali huwa mbaya, na bila kuwa makini watu wanaweza kuimba "Si mbaliiii, Karibu...Tutaimba na sisi hukooo" (Ijulikane kuwa ugonjwa wa mapenzi hutibika kwa mapenzi)