Naomba ushauri wenu wana jf

kbz

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
21
Reaction score
1
Poleni na majukumu yanayowakabili,

Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu

Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki sasa nikipiga cm hapokei wala sms hajibu,na hajanieleza chochote kama kapata mwingine au la sielewi nifanyeje kwa hili naomba ushauri wenu
 
Kwanza kabisa karibu JF naomba niwapishe wenye Jukwa hili wadadavue kwa kina suala lako. Naamini utapewa ushauri mzuri toka kwa waheshiwa.
 
Pili naomba nikudokezee kitu inawezekana pia amepata wa kumtimizia baadhi ya mahitaji ya kimwili ambayo alikua hayapati kwako.
 
Sijui nikuhukumu au nikupe ushauri?Anyway kwa umri wako bila shaka kama huja practice love basi umesikia sana habari hizi!Wiki moja haitoshi kukupa hofu mpaka kuomba ushauri hapa!Go physically to ur partner if you cant reach him through the phone!
 
Mapenzi ya facebook yaache huko huko
 
haya mapenzi ya facebook kazi kweli kweli, week moja hapokei cm wala hajibu sms hebu jichunguze kwanza wewe umemfanyeje then mfuate hata alipo mweeleze unavyojisikiia kwa kukuchunia nadhani utapata jibu sasa kutoka kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…