Naomba ushauri wenu wana jf

Naomba ushauri wenu wana jf

help me

  • to be members of jf

    Votes: 0 0.0%
  • to

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0

kbz

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
21
Reaction score
1
Poleni na majukumu yanayowakabili,

Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu

Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki sasa nikipiga cm hapokei wala sms hajibu,na hajanieleza chochote kama kapata mwingine au la sielewi nifanyeje kwa hili naomba ushauri wenu
 
Pole sana, jaribu kutafuta marafiki zake au ndugu zake , wanaweza wakakupa some informations, usipanic, kama amepata mtu mwingine utajua tu,
 
Back
Top Bottom