Nissan xtrail kama utaipendaWakubwa nahitaji gari, naomba mnishauri aina ya gari inayonifaa. Budget yangu ni mil12. Sifa ya gari niwe naweza kusafiri nayo kutoka Mwanza- Arusha angalau mara mbili kwa mwaka (iwe na uwezo huo), isiyozidi cc 2000, upatikanaji wa spare uwe mrahisi.
Natanguliza shukrani
naweza kukuunga mkono. nina runx 1.5L yapata mwaka sasa sijawahi juta. uwa naenda safari ndefu sometimes, na haisumbui na mjini hapa hainisumbui mafuta na very cheap services and maintenance.Kwa ushauri mdogo tu,,chukua toyota alex,nzuri sana,kuanzia ndani mpaka nje,mafuta inakunywa mpaka km 16/l,engine ndogo na kwa mfumo wa sasa waweza toka mwanza dar bila kupumzika popote na kesho yake ukarud bila shida,spare part zipo zakutosha,.kina show nzur sana,mi nilichukua 10m ,