Naomba ushauri wenu

Naomba ushauri wenu

Lucas Mganda

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Posts
250
Reaction score
178
Mwaka Jana nilienda sehemu kununua shamba la kulima mpunga hvyo nilipofika nikaonyeshwa shamba nikawa nimelipenda ila Bahati mbaya mwenye shamba hakuwepo alikuwepo mtoto wake,niluamua kuacha kiasi cha pesa kama kutangulizi pamoja na gharama ya kuwalipa mashahidi wakati wakuandikishana ila Bahati mbaya nikapata dharula nikamwachie mwenyeji wangu hizo pesa na kweli baadae alinijulisha kuwa tayari wamekwisha kamilisha taratibu pesa iliyobaki nilimtumia kwa m pesa ,tatizo linalonisibu sasa hivi kule ofisini aliandikisha kwa jina lake na nikienda shambani akiniona tu anakimbia je hapo kisheria imekaaje?
 
Back
Top Bottom